
JINA LA KITABU; WASAKATONGE
MWANDISHI; MUHAMMED SEIF KHATIB
MCHAPISHAJI; OXFORD UNIVERSITY PRESS
MWAKA; 2003
UTANGULIZI
Wasakatonge ni diwani inayozungumzia hali ngumu ya maisha. Matatizo anayoyataja mshairi ni magumu kutibika mfano wa saratani, hata hivyo wananchi...